Member of EVRS

Sunday, 7 February 2010

Sunday's Message


I wish you a lovely Sunday. That is all...
Wengine tuna ugonjwa wa kukaa karibu na maji, kama serikali ingekuwa inagawa maeneo ya maji ili watu wayaendeleze, kuogelea nk, mie ningekuwa wa mwanzo kuomba low density...... asili haipotei.

5 comments:

Fadhy Mtanga said...

Mkuu nawe pia uwe na Jumapili mwanana na wakti mzuri daima.

SIMON KITURURU said...

Jumapili Kibonge kwako pia Mkuu!

Yasinta Ngonyani said...

Jumapili/dominika njema kwako pia. Kumbe tupo wengi tulio kama samaki.

Dede said...

Wishing you a wonderful Sunday as well!

(((HUGS)))

Anonymous said...

http://gongfu.com.ua - Visit us or die!