Member of EVRS

Friday, 26 February 2010

Chinese Remedies Really Work!!

There has been a fleet of chinese remedies alleged to increase "bulkiness" to selected parts of the body. I am not sure about their long term effect to the users.

Ati inadaiwa ndugu yetu huyu alitumia dawa za kichina kuongeza ukubwa wa sehemu sehemu za mwili ili afanane fanane na kazi yake.
Kwa wale mnaotafuta unene wa bandia :-)
Nashukuru mdau kwa kunitumia sindikizo la wikiendi

5 comments:

Candy1 said...

Mmhh...mmmmmmmmmmmmh.............mh mh mh mhhhhhhhhhhhh.......................ni hayo tu!

John Mwaipopo said...

1. aliongeza hayo majipu ili kuongeza ufanisi wa kazi gani?

2.hivi chanzo cha wanawake kupenda hizo 'great behind' ni wanawake wenyewe ama ni wawanaume na kama ni wanaume,,,

3 wanayatakiwa nini au wanayafanyia nini?

kama candy1, ni hayo tu.

chib said...

Mimi sina jibu :-)

Anonymous said...

[ ... ] link is being shared on Twitter right now. @zenx, an influential author, said RT @1ndus: Xtreme [ ... ]

Mulyono said...

never tought Chinese remedies has gone into Jamaican too