Member of EVRS

Thursday, 4 February 2010

Newest Bio-degradable Car

This is one of the product of great thinkers!
Least cost, but yet effective and funny.
The whole body is biodegradable!
Moderenisation has not been left behind

Mtazamo kwa nyuma!


Inside ViewMambo ya ubunifu hayo, nafikiri unaweza kukisia gari hii imetengenezwa wapi...
Thanks Mhesh. kwa kunitumia picha hizi.8 comments:

Candy1 said...

I want it!!!!! zuri kweli yaani duh!!

SIMON KITURURU said...

Na wasiwasi tu na UIMARA WAKE kiusalama baada ya kufikiria , - ni nini kitatokea ukigongana na hata mkokoteni wakati unaendesha gari hili? Na kama mvuta sigara hukawii kujiunguzia gari kinamna.


Sorry kwa mtazamo negative!:-(

Anonymous said...

Inafurahisha na huo ubunifu.
Kitururu usihofu sigara, maana hata mafuta ya taa yanachoma nyumba lakini tunayatumia ndani ya nyumba

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...
This comment has been removed by the author.
kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

harafu gari kma hili inaidi uweke na godoro uishi humo humo\

CHIB unakumbuka siku ile mnaelekea bagamoyo??? sasa wataingia nyoka wangapi humo???

kyoyozi je?

Anya said...

LOVE that car :))))))))
FUNNY design :-)

Have a wonderful weekend

(@^.^@)

Chib said...

@ Candy, Anony and Anya, thanks if you love this car as I did!!

@ Kitururu, si unajua tena, kila inachotengenezwa kina uzuri na ubaya wake, anony kamalizia usemi wangu

@Kamala: Usinikumbushe kale kanyoka. Yaani kama nikilipata gari hilo, litakuwa la kuendeshwa sebuleni na kwenda chumbani :-)

nyahbingi worrior. said...

Amani mkuu.

Nimepita kukujulia hali na kuacha baraka za Mfalme Haile Selassi I.