Member of EVRS

Wednesday, 24 February 2010

Inter Milan V/S Chelsea

V/S

Kwa wapenzi wa mpira wa miguu, leo watakuwa wanasubiri kwa hamu pambano kubwa kati ya Chelsea ya Uingereza na Inter Milan ya Italia.

Mchezo huu utachezwa San Siro nyumbani kwa Inter Milan.


Mvutano upo mkubwa kati ya makocha kuliko hata timu zenyewe.

Itakumbukwa kocha wa sasa wa Ancelotti Chelsea alikuwa anakinoa kikosi cha AC Milan na kuweza kunyakua kombe la klabu bingwa Ulaya mara 2, na akiwa Italia, timu yake na ya Maurinho zilikuwa na upinzani mkubwa.


Maurinho naye atakumbukwa kwa kuweza kuiongoza Chelsea na kuinyanyua kisoka katika ukanda wa Ulaya, na almanusura achukue ubingwa wa Ulaya akiwa na Chelsea kwenye msimu wake wa kwanza.


Leo kazi ipoooooo


3 comments:

John Mwaipopo said...

wametufunga kwa taabu

Oman's Collective Intelligence said...

As a true Juve fan i want Chelsea to win!

chib said...

@ Oman's :-)