Member of EVRS

Wednesday, 10 February 2010

Mobile Shop


Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.
Kijana huyu wa Bujumbura, Burundi anaonekana akitekeleza hili kwa msisitizo.
Jua kali lakini yupo ngangari kinoma.
Tunahitaji nguvu ya ziada kuhakikisha nguvu za vijana zinatumika kikamilifu kujenga nchi na sio kujenga katumbo.

4 comments:

Mija Shija Sayi said...

Kweli kabisa lakini ni ngumu kidogo kwa waafrika.

Anonymous said...

Kwa mtaji huo hatutafika popote. Sasa nguo chache namna hiyo kuna faida yoyote na pesa ya kula!!!

ρομπερτ said...

You wouldn't believe how many of those kind of shops are walking through the street of Athens, Greece.

mumyhery said...

Ni kweli nguvu ya ziada inahitajika, lakini jinsi ya kuipata hiyo nguvu ya ziada!!!