Member of EVRS

Friday, 5 June 2009

Yote Maisha

Kuna staili nyingi sana za kujipatia kipato hapa Bremen.

Jamaa hapo pichani ni mtanashati kweli na suti yake, lakini anaendesha maisha kwa kupiga sax. mtaani, sanduku hilo ni bakuli la kupokea chochote kama utafurahia muziki wake.
Jamaa ni mabahili kwelikweli, maana kulikuwa kumejaa coin tu, hakuna noti hata moja!

Changamoto kwa Matonya, naye atie suti badala ya kuinua kopo hewaniiii

1 comment:

Mzee wa Taratibu said...

Umasikini wa ulaya wa kiajabau ati masikini huyo anaomba pesa, Cheki alivyokuvalia suti na vifaa vyake vipya, Njoo uone wa masikini wetu wa kiafrica vipi.