Member of EVRS

Wednesday, 10 June 2009

Be councious with Environmental CareNetherlands is very serious about environment. Use of bikes is a very good solution against air polution. Also parking space can accomodate more ....
Photo from travel news

9 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Inaonekana huko wanatumia kweli baiskeli. Safi sana na ni utaratibu mzuri wanao.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

saafi sana. hata mimi nikiwa kwetu huwa naendesha sana na nikaiamia mkoani ndo utakuwa usafiri wangu lakini wingi huo ukirudi si unajichulia yoyote ile? utaijuaje ya kwako?

chib said...

Ni kweli utaratibu huo ni mzuri, pia kiafya ni sehemu ya mazoezi kuendesha baiskeli.

Kwa uwingi huo, Bw Kamala, ni kweli, nafikiri inabidi uwe na kumbukumbu nzuri sana ya mahali ulipoiacha, au uiwekee kitu kama alarm na taa, ukifika unabonyeza na kuanza kuangalia ipi ita blink!!

jaz said...

hi..are you back yet? what a fun trip! joyce

chib said...

I am still in Germany. Food is great here!

Born 2 Suffer said...

Watu wanaojua kufanya utaratibu inaonyesha huko hawatumii sana magari, Kwa hali hewa ilivyo na utulivu wa watu.

Ivo Serentha and Friends said...

Ok chib,the tangle of bicycles is now yours.

Marlow

Egidio Ndabagoye said...

Ukianza kuendesha baiskeli Dar es salaam uneonekana choka mbaya AKA umefulia.

chib said...

Egidio umenichekesha