Member of EVRS

Monday, 29 June 2009

Mambo ya Shanghai, China

Jengo la ghorofa 13 liliporomoka huko Shanghai China hivi karibuni, ilhali upande mwingine uliokuwa umeungana nalo ukibaki mzima, hata hivyo kasoro ilianza kuonekana mapema kwenye upande huo, na ilikuwa hakuna jinsi zaidi ya kusubiri boooooom!!!

Nyie mnaowaamini mafundi mchundo!!!

Nimesoma kutoka TravelNews

No comments: