Member of EVRS

Tuesday, 30 June 2009

Ubunifu wa Vyoo


Picha ya juu ni ubunifu wa waafrika, na hizo za chini ni ambapo tiles zake ni za michoro kwa walioendelea.
Kwa mtazamo wangu nafikiri maudhui ya ubunifu na michoro hii ndani ya toilet ni kumfanya mtumiaji wa choo awe kwenye hali ya kufikiria na kuutafakari huo ubunifu badala ya kufikiria kitu kingine kisicho na maana.
Picha ya juu imenivutia sana na nimeibofya kutoka kwa mwanablogu Matondo

1 comment:

Anonymous said...

Ya ajabu hayo ya kuchora watu vyooni.
Nimeihusudu picha ya choo cha juu