Member of EVRS

Friday, 19 June 2009

Puzzle - Tafakari

Give your own thoughts, what happened here, notable: Lioness is at the background.
Tafakari mwenyewe, simba alifanya nini kwa mtu huyo.
Photo from Swahili Time

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kazi kwelikweli hapo.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

kama huyo simba ni dume, basi alimbaka huyu mama na yawezekana atazaa katoto mchanganyiko

Thom said...

I think she survived, because lions in African plains, do not attack human being, and that is why the photographer had enough time to pause and take the photo

Anonymous said...

Du, hiyo kali, sijui nicheke

mumyhery said...

anaangalia uchafuzi wa mazingira