Member of EVRS

Sunday, 7 June 2009

My tour in Prague - Czech Republic


Ilikuwa ni furaha kubwa sana kukutana na watanzania wenzangu wanaoishi Czech, tabasamu na bashasha kama unavyoona mwenyewe.
Kutoka kushoto, Imani Kondo (Zemarcopolo), Claudi (Brain), Shuma (Mwenye miwani) na Mgeni wa mji.

9 comments:

Anonymous said...

I see!! Yaani Claudi ndio kachana hivyo. Naona mambo yake si haba

Faustine said...

Msalimie sana Brain.
Mdau

Yasinta Ngonyani said...

Kwa kweli ni raha sana uendapo sehemu na kukutana na mtu atakae utakapo. Wasalimie wote

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

kidogo tu nimuoe mzungu wa huko hofu ikanitanda nikachomoa fuse

chib said...

Na ukizingatia kuna wengine tulionana mara ya mwisho kama miaka 16 iliyopita!
Kamala, mapenzi ya kweli hayachagui rangi, dini, kabila, wajihi au utaifa. Nafikiri wewe hukuwa tayari ndio maana hofu ilikutanda.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ndio. nilikuwa na mwingine

SIMON KITURURU said...

Kuna mtu hapo tokea nianze kublogu namjua jina ila leo ndio nimeoanisha jina na sura. Na ni huyu Mkuu wa kwanza kushoto.

zemarcopolo said...

Sawasawa Mkuu wa milima ya Uluguru, nimekusoma.

Anonymous said...

good afternoon everyone. I'm really into shoes and I have been searching for that exact model. The prices seeking the boots are about 210 dollars everwhere. But definitively I found this area selling them someone is concerned half price. I exceptionally want these [url=http://www.shoesempire.com]prada sneakers[/url]. I will probably purchase them. what can you say about it?