Member of EVRS

Thursday, 4 June 2009

I also made my wishes!

5 comments:

SIMON KITURURU said...

Goodluck!

Anonymous said...

Ingekuwa kila mtu anapoenda kugusa hicho kisanamu na kufanikiwa basi huko Bremen sidhani kama ungekuta mtu masikini wote wangekuwa kina Bill Gates! Sijui nawe jaribu tusikukatishe tamaa bure. Ila usiombee utajiri tu maana nahisi ndo kitu cha kwanza mwanadamu huwa anaomba. embu jaribu kuombea ufisadi na kizazi hiki cha uongozi wa Tanzania kifie mbali. Ukifanya hivyo utakuwa mtu wa maana kweli.

chib said...

Umejuaje!!, Maan ndio kilikuwa kitu cha kwanza kuomba. Vingine , mh, siwezi kukumegea.

zemarcopolo said...

Good luck.
Imani.

Mounmoun said...

Let me know(whisper)what's your wish?
Be an great VR surgeon?