Member of EVRS

Monday, 22 June 2009

Mwanza, TanzaniaWhen you visit Mwanza city, Tanzania. Make your night an exceptional one by securing an accomodation on this boat!

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Asante sana nadhani nitafanya hivyo.

Thom said...

That is very interesting. How did they manage to balance the boat with that tops! Amazing!!

Fadhy Mtanga said...

Ndo maana Dr Remmy Ongala aliimba, "Mwanza, Mwanza, Mwanza nitarudi tena.!"
Nimejua sababu. Nami ngoja nijipange nifike huko.

mumyhery said...

Mimi niliogopa kulala hapo naogopa kufika Uganda bila visa, ntajaribu niekienda tena, maana yake huwa naishia kula vyakula vya ki jp halafu naenda saa nane ireland ambako sasa hivi hakuna wanyama, mradi tu kupuga upepo tu

SIMON KITURURU said...

Niliikosa hii mwaka jana mwishoni!:-(