Member of EVRS

Sunday, 12 September 2010

Miss Tanzania 2010: Genevieve Emmanuel Mpangala

Muda mfupi uliopita, Genevieve Emmanuel Mpangala (pichani juu) ameshinda Taji la Vodacom miss Tanzania 2010 kwenye mchuano mkali uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Itakumbukwa ya kuwa Genevieve ndiye aliyeshinda taji la miss Temeke 2010.Pichani juu, Genevieve akitoa chozi mara tu baada ya kutangazwa mshindi na kuvishwa taji la miss Tanzania.


Binafsi namtakia kila la heri na kuwa balozi wetu mzuri kwenye mashindano ya miss world 2010 yatakayofanyika nchini China baadaye mwaka huu.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kaazi kweli kweli, mpaka chozi kabisaaa. Halafu wanapata taabu kweli hawa mabinti hawali na hii inaambukiza kwa mabinti zetu ambao ni wadogo kuonekana vimbaombao .

EDNA said...

Hongera yake,namtakia kila rahel.

Anonymous said...

Mashindano ya miss bantu yaliishia wapi? Yale ndio yalikuwa saizi yetu