Member of EVRS

Thursday, 2 September 2010

Dr. Faustine Ndugulile Anaomba Kura Yako

Dr Faustine, mwanablogu mwenzetu, ameingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Kigamboni Dar es Salaam.

Ana ujumbe mfupi tu kwa wana-Kigamboni.

Anawaomba kura zao ili waweze kushirikiana pamoja kutatua kero zinazowakabili ili kuleta maendeleo ya kweli kwa Kigamboni.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni habari njema sana na natumaini utapata tu kura. Bahati mbaya kwangu ungepata kura zangu zote. Tupo pamoja.

Anonymous said...

Dr Faustine Kumbe ndio maana hatukupati kwenye blog yako. King'anyiro si lelemama

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

hafai, yaani hana mawazo ya mabadiliko kama kijana. kwanini asijiunge na upizani? mi simpi kuLa kwokwote

Upepo Mwanana said...

Ahadi ziwe za kweli Kaka. Achana na Kamala, kwani upinzani wa kweli huanzia ndani