Jamani wabongo...
Ebu fikirieni mambo ya maendeleo kwa kuyatengea pesa za kutosha
Maendeleo yenu bado yapo mkiani, tena kwenye ncha ya mkia
Sasa matumizi makubwa yasiyo na ulazima ya nini?
Mmependekeza kampeni ya urais itengewe sh bilioni 5, yaani 5,000,000,000
Msajili wa vyama alipendekeza isizidi bilioni 1, nyie mmeona hana maana.
Za wabunge hatusemi, mnang'ang'ania kuongeza majimbo! Hiyo ni kwa faida ya nani?
Huduma za afya, usafiri, elimu, matunzo kwa wazee mnasema hamna pesa.
Nyie mmelaani au mmelaaniwa!!!
7 comments:
that's what makes me love politics. it's not about how knowledgeable and intelligent one is. it's about how you can manipulate things and turn them this way and that. i will get into politics someday, wallah!
No comment today!
ha ha hahaa nhe he
Nimeipenda posti ya leo. Imejaa machungu ya kutosha hadi mwandishi ajajua andike kipi au aache kipi. Nafurahi mimi kuona wananchi wakikasirika hivi, iko siku watachapa wafu fulani fulani makofi, naisubiria siku hiyo kwa hamu kubwa sana...
@ wavuti :-) Nipo kama wewe, nimechekelea weee, sio kwa furaha bali hasira iko pomoni!
Mmmh,
Sijui nione uchungu nilie,
Ama nipate tamaa siasa niingie,
Naomba mtu anisaidie!
Thanks for your comment on my blog!
Pumbafu
Post a Comment