Member of EVRS

Thursday, 4 March 2010

Habari Mpya: Soko la Samaki Feri Laungua Moto

Habari zilizonifikia usiku huu ni kuwa sehemu ya soko la samaki hapo Feri imeungua moto.

Chanzo cha moto huo na hasara iliyopatikana bado haijanifikia sawasawa, maana juhudi za kuuzima bado zinaendelea kwa sasa.

Natumaini kufika asubuhi tutakuwa na habari ya kutosha.

2 comments:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

moto huu ungeingia ikulu sijui ingekuwaje

SIMON KITURURU said...

@Komandoo Kamala: Moto ungeingia Ikulu ulaji ungejileta wenyewe KILAINI kwa kuwa fungu la manoti pesa lingehalalishwa kirahisi kijanja na Wajanja:-(