Member of EVRS

Sunday, 21 March 2010

Problems with my Network

Aaaaarrrgh, I have problem with my network from friday evening, on... off.....on... off

Kuna matatizo ya mtandao hapa kwangu, mtandao unakatika katika sana tangu ijumaa jioni, nashindwa kutoa vibandiko vyangu, nina matumaini mambo yakiwa sawa itakuwa rahisi kubandika na pia kusoma blog za watu wangu wooote

Nawatakia Jumapili njema.

6 comments:

Fadhy Mtanga said...

Pole sana kaka. Uwe na Jumapili maridhawa.

Yasinta Ngonyani said...

pole sana kaka Chib. Na pia nakutakia j2 njema nawe pia.

Candy1 said...

poleeeeeeeeeeeeeeeee!!! I know how that feels, kero mpaka basi, unatamani kuipiga teke computer ila who is gonna lose? lol have a great sunday n the coming week

mumyhery said...

Pole sana jpili njema na kwako pia

Crissant said...

Oh, this things happen....but now you`re on, right?
See you!

SIMON KITURURU said...

Matatizo ya kisasa hayo ambayo hayakuwahi kuwapata MABABU ZETU!:-(

Yani siku hizi ukiniondolea mtandao na simu inakuwa bonge la tatizo kitu ambacho ni chaa ajabu hasa ukizingatia upya wa tegemezi la hivi vitu.

Lakini pole sana MKUU na Jumapili njema!