This photo I took at Manama, the capital city of Bahrain in the international conference I attended (Middle East African Council of Ophthalmology) last year.
This was a retinal subspeciality hall.
It was interesting meeting for many things.....
Usishangae kuona zimepigwa kutoka nyuma, maana hata kwa mbele ilikuwa taabu kuona sura za baadhi ya watu.
7 comments:
Ni kweli mkutano wa ajabu bila kuonana. Haya kazi kwelikweli!!
Meet different people is always good!
Kazi ipo, mnachekeana na mtu wakati humuoni. Natumaini watu wote wanajali mavazi kwa jinsia zao, maana waweza kwenda chooni, kumbe mwenzio .....
it is nice to meet different people with different cultures. We always learn new things whenever we meet new people.
Its always wonderful to meet new people and make new friends :-)
(Thanks for the translation Chib :)
Greetings Anya (@^.^@)
Mkuu CHIB unauhakika wote hao walikuwa wanaangalia mbele kwenye screen?:-)
@ Simon, :-) Jibu ni hapana.
Lakini ilikuwa raha tupu kwenye mkutano huo. Unakaa na mtu humuoni sura huku mkibadilishana mawazo na uzoefu
Post a Comment