Member of EVRS

Wednesday, 19 August 2009

Mwanza


Leo nimekumbuka mji niliokulia, Mwanza.
Ni siku nyingi tangu nimekanyaga hukooo kwa ndugu zangu wasukuma torori kama walivyokuwa wanaitwa enzi hizo au akina "yego".

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nimeona na kusimuliwa pia kusoma tu kuhusu Mwanza itabidi nitembelee mwaka wake. Kuna kuna historia babu yangu alikuwa mjenzi kwa hiyo alikuwa anafanya kazi huko mwanza.

George, Uk. said...

kwa kweli kamji kanampendezaga, nasikia na siku hizi kuna tu-taa twa kuongozea magari barabarani.

Anonymous said...

Mji safi sana, sijawahi kufika huko. Natamani kwenda sana

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

just for info. I will be in this city next week. any info? I hope to enjoy lyf there.

nitatesa!!