Member of EVRS

Thursday, 27 August 2009

Any hope!!


Picha kutoka kwa Faustine

Where do we come from......, and where do we go.................!!!!!
Na askari wa usalama barabarani atawaacha hivyo hivyo, wamebeba rasrimali ya nchi, wakiendeleza kajangwa, na bado wamekalia raslimali katika hali inayohatarisha maisha yao.
Na vijana, nguvu za uzalishaji wanazo, lakini..... Mobile shop!!!

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Imeshasemwa kuchanganya wtu na mizigo ni hatari lakini imesemwa tu hakuna utekelezaji.

Nilipokuwa nyumbani nikaitwa na kuambiwa wauza urembo wanapita kama unataka kitu yaani wanatembea hao. Nina swali je nikinunua kitu kwao na bahati mbaya hakinitoshi je? ntabadili wapi? hawakai sehemu moja hili ndo tatizo.

rouslenz said...

hey there,
even though i can't understand the language, i always enjoy to see all those photos.

jaz said...

hi chib! when you have time check out my post from this morning! wait until you see what i found! joyce

Ivo Serentha and Friends said...

Interesting how it helps with the imagination to transport goods, a world that no longer exists in the West, good and bad, here are more easily and wealth, but missing the happiness and was no longer alone.

Hello Chib

Marlow

Nicky Mwangoka said...

Inafurahisha tunapojitahidi kweli. Hii ni namna nzuri ya kujituma licha ya kwamba sheria inakuwa inalega hapa,lakini walau tunaonyesha kufanya jambo la kimaendeleo.