Member of EVRS

Wednesday 30 September 2009

Dar!


Kwa wale wanaoifahamu Dar vizuri, hakika wanaitambua

sehemu hii. Unataka kupata jack pot? Jaribu kunena.

4 comments:

Faith S Hilary said...

St. Peters kwenda shule ya Mbuyuni...kuna zawadi kwenye hii jackpot au?...lol...

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

yep hapa ndno pale pale kwa kanisa la wakatoliki, ada estate fulani hivi na kulia kama unatoka posta basi waelekea Masaki.

unajua hivyo vigari ndo vimenionyesha hapa.

harafu taa karibia zote za barabarani zimewekwa mpya isipokuwa hizi za hapa na ubungo. so ni rahisi kujua na picha hii sijui kama sio ya zamani

chib said...

Naam, ndipo hapo kabisa, na picha hii nimeipiga ijumaa iliyopita.
Zawadi ipo, lakini kwa sababu wote mmepatia, bado nafikiria nitaigawaje, maana haigawanyiki!!

Faith S Hilary said...

Hahahahahhahahhaha kaka chib bwana...haya mi sisemi lol