Member of EVRS

Monday, 7 September 2009

Ubebaji wa mizigo mipana! - Wide load


Huu ni ubunifu wa aina yake kwa kubeba mzigo mkubwa ukitumia mtaji wa masikini (nguvu zake)
Kuokoa muda na mafuta!!
Wide loadSasa je!

Photo from Travellernews

8 comments:

Wences said...

Hola!
Estoy colgando en la web una blognovela: El fin del mundo. Si te apetece, me gustaría que le echases un vistazo y me dijeses qué te parece. Gracias.
http://findestemundo.blogspot.com

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Chib! kazi kwelikweli haya kaka lugha hiyo jibu. Mucho Gracias jo tambieni:-)

Anonymous said...

Ndugu yangu Chib, hivi unajua lugha ngapi?!!!
Ila huo usafiri sijui ni wa watu wa asia wa kubeba bello kwa baiskeli 3 hauna mfano

zedmagel said...

Hello Chib,

They are all over loads one, it dangerous drive and load like this. It bring something bad for us.

But still acctractive

SIMON KITURURU said...

Kazi kwelikweli!

chib said...

Hola Wences! Si primero lo veo y después te comento gracias.
Prefiero que hagas comentarios en ingles si es posible.

Da Yasinta, umenichekesha na kispaniola chako

Anony, ndio mambo ya blog, unapata marafiki ambo hata hujui wanafananaje, na lugha tunajifunza humuhumu.

Zedmagel and Kitururu Thanks, naona hata nyie mmebaki midomo wazi :-)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

maweeee

chib said...

Kamala :-)