Member of EVRS

Wednesday, 23 September 2009

Katizo la muda

Wapendwa wana blog

Leo nimekumbuka nyumbani.
Nimetoka ofisini moja kwa moja kuelekea airport. Natumaini usiku huu nitakuwa Dar es salaam.
Mkiona kimya basi mjue ndio nipo njiani.

Tukutane tena baadaye kwa habari motomoto za nyumbani

7 comments:

Fadhy Mtanga said...

Safiri salama na karibu sana nyumbani.

Yasinta Ngonyani said...

Nakutakia safari njema na pia natamani nami ningekuwa nyumbani kwani umenitamanisha sana. Ok uwe na wakati mzuri.

Halil Mnzava said...

Karibu Bongo,bado tambararee'''

Faustine said...

Safari njema na salimia wadau wote

Candy1 said...

Have a safe journey kaka!! xx

SIMON KITURURU said...

Safari njema Mkuu!
Tuko Pamoja!

chib said...

Ahsanteni sana.