Wazo!!
Kamba ya katani - Sisal rope
Preparation in progress. Three boats joined together ready to ferry cars across river Ruvuma between Mozambique and Tanzania.
Miti tu inatosha kuunganisha boti, pamoja na kamba za katani
Car inlet and outlet
Tayari gari imeshapandishwa
Phew!
Well done guys!
Haya ndio matatizo ya kuvuka mto Ruvuma sehemu ya Mtwara ambapo daraja sijui limehama au...... Vijana wanajipatia hadi dola 1000 kwa siku kwa kuvusha watu na mizigo kwa kutumia mitumbwi. Masula ni mapatano, ukiwa mzungu wanaanzia dola 500 kuvusha gari, lakini ukipiga pepe pepe wanashuka.
soma hapa for more info
7 comments:
Huu mto nasikia unamchezo wa kuhamahama!
Unaweza ukashangaa!Labda jamaa aliyevushiwa gari hiyo ndio adivencha atakayo ikumbuka maishani mwake mwote.Na ni kitu ambacho anakihusianisha na kitu bomba na wala sio usumbufu.
Nakumbuka rafiki yangu mmoja alikuwa na mchezo wakutafuta njia mbaya makusudi wakati wa mvua ili ainjoi kutumia Four Wheel drive kitu ambacho maulaya akaako anashindwa kufanya. Basi akikwama unaweza ukafikiri anapata taabu au usumbufu kumbe mwenyewe ndio alichokuwa analenga na anainjoi kutumia kila njia kujikwamua na zitapigwa picha elfu hapo.
Lakini kwenye hilo gari na hayo maboti hunikalishi wakati gari linavushwa.:-)
Where are the immigration officers?!!
Duh,
Bonge la adivencha,
Kwa namna isiyoficha.
Dah,
Bonge la denja,
Hata ngumi ukinikunja.
Sipandi hata siku moja,
Bora lingekuwepo daraja.
kwa hiari yangu sipandi kabisa labda wanifunge kamba. maaana kuna mamba humo. kazi kwelikweli.
Fortunately, there is the ability and imagination of man, otherwise the Jeep would do much to bridge the river trip.
Hello Chib, beautiful photos of your Africa
Marlow
safi sana, life seems very better thea
Hehehehe duh!!! Mi ningeshazimia if I was in the car. Seriously!!
Post a Comment