Member of EVRS

Friday, 11 September 2009

Semenya:Hermaphrodite???


Yule mkimbiaji wa Afrika kusini Semenya (Pichani juu)aliyeleta utata kuhusu jinsia yake kwenye mashindano ya riadha ya dunia yaliyofanyika Ujerumani, inasemekana amegundulika ya kuwa ana jinsia zote mbili, lakini ya kike haijakamilika, na ya kiume pia korodani zake hazikuwa zimeshuka toka tumboni.


Habari hii imewakasirisha sana watu wa Afrika kusini, akiwamo rais Jacob Zuma, kwa kuwashutumu waliotoa habari hizo wanaingilia undani wa maisha ya mtu kwa uhusiano wa mtu na daktari wake kwa kutoa habari zake nje bila idhini ya Semenya mwenyewe


For more inforead HERE here and HERE

3 comments:

Candy1 said...

Mmh lakini jamani, ukiwa unajulikana namna hii, ndio sie celebrity gossip followers tunaingilia their "privacy"? Mimi kama human, I am curious. Since I saw this girl live on TV in Berlin nilianza kuguna kusema ukweli so I gotta know kwamba nina unsolved questions in my head. Aaaaaaanyway I am waiting for the official results .... if they are going to release them.

http://abebedorespgondufo.blogs.sapo.pt/ said...

Good blog.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

DUH. CHIB, KAMTONGOZE HARAFU......

SAMAHANI NIMEPITIWA