Member of EVRS

Friday, 1 May 2009

Current situation in Mexico cityHii ndio hali ya kawaida kwa wasafiri na wana usalama katika jiji la Mexico.
Bei ya mask imepanda sana, na vyakula kuadimika katika maduka makubwa.
Nakushukuru Joseph a.k.a. Sibho kwa habari na picha hizo hapo juu.

2 comments:

Anonymous said...

Sasa mbona askari mmoja kafunika mdomo, mwingine kidevu na wa mwisho kuanzia pua hadi kidevu. Kipi ni sahihi sasa?

chib said...

You are a good observant. But what I know both mouth and nose are supposed to be covered by mask. May be those soldiers acts recklessly!