Member of EVRS

Tuesday, 26 May 2009

Biashara kwa Rubangura


Akina mama wajasiriamali wakifanya biashara katika mtaa maarufu kwa biashara za maduka ya mikononi. Zaidi ya nusu ya wafanyabiashara katika mtaa huu ambao naufananisha kidogo na mtaa wa Kongo Dar ni akina mama, na wateja karibu asilimia 90% ya biashara ndogondogo ni akina dada.
Tutawakomboa vipi akina mama wanaojishughulisha namna hii mpaka kwenda na watoto wachanga kwenye mtaa wenye watu wengi namna hii, bila kusahau pia kuwa na hapa Kigali kuna askari kanzu huwa wakati mwingine wanawakimbiza hawa wajasiriamali!

No comments: