Ifuatayo ni orodha ya wakuu wapya wa mikoa, na kituo walichotoka
1. Bw. Saidi Mecki Sadiki DAR ES SALAAM Kutoka RC - Lindi
2. Bw. John Gabriel Tupa MARA Kutoka DC - Dodoma
3. Bw. Saidi Thabit Mwambungu RUVUMA Kutoka DC - Morogoro
4. Kanali Joseph Simbakalia MTWARA Kutoka RC Kigoma
5. Bi. Chiku S. Gallawa TANGA Kutoka DC - Temeke
6. Bw. Abbas Kandoro MBEYA Kutoka RC Mwanza
7. Bw. Leonidas T. Gama KILIMANJAROKutoka DC – Ilala
8. Dkt. Parseko Ole Kone SINGIDA Kutoka RC Singida
9. Eng. Stella Manyanya RUKWA Kutoka Mbunge Viti Maalum
10. Bibi Christine Ishengoma IRINGA Kutoka RC Ruvuma
11. Dk. Rehema Nchimbi DODOMA Kutoka DC - Newala
12. Bw. Elaston John Mbwillo MANYARA Kutoka DC – Mtwara
13. Col. Fabian I. Massawe KAGERA Kutoka DC - Karagwe
14. Bibi. Mwantumu Mahiza PWANI Kutoka Mbunge/Naibu Waziri Mstaafu
15. Bibi. Fatma A. Mwassa TABORA Kutoka DC - Mvomero
16. Bw. Ali Nassoro Rufunga LINDI Kutoka DC - Manyoni
17. Eng. Ernest Welle Ndikillo MWANZA Kutoka DC - Kilombero
18. Lt. Col. Issa Machibya KIGOMA Kutoka RC Morogoro
19. Bw. Magesa S. Mulongo ARUSHA Kutoka DC - Bagamoyo
20. Bw. Joel Nkaya Bendera MOROGORO Kutoka Mbunge/Naibu Waziri Mstaafu
21. Bw. Ludovick Mwananzila SHINYANGA Kutoka Mbunge/Naibu Waziri Mstaafu
Waliostaafu ni
Bw. Mohammed Babu, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera;
Bw. Isidore Shirima aliyekuwa Arusha;
Kanali (mst.) Anatory Tarimo aliyekuwa Mtwara;
Bw. John Mwakipesile, aliyekuwa Mbeya.
Kanali Enos Mfuru aliyekuwa Mara;
Brig. Jen. Dk. Johanes Balele aliyekuwa Shinyanga;
Meja Jen. Mst. Said S. Kalembo aliyekuwa Tanga.
Wakuu wa Mikoa wanne waliostaafu ambao watapangiwa vituo vingine vya kazi ni
Bibi Amina Mrisho aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani;
Dk. James Msekela aliyekuwa Dodoma;
Bw. Abeid Mwinyimusa aliyekuwa Tabora
Bw. Daniel Ole Njoolay aliyekuwa Rukwa.
Taarifa kutoka blogu ya Ikulu-Tanzania
2 comments:
Mmmh!
Wakuu wapya wa mikoa sasa chapa kazi Rais katimizab wajibu wake. Mwantumu hongera, na kama kawa ulivyo fanya MoEVT, Wakizembea wapashe. By Makenji
Post a Comment