Member of EVRS

Wednesday, 16 March 2011

Fly With Air Tanzania: The Wings of Kilimanjaro

I need your support! 
 
Kindly remove those bugs who are draining my life through corruptions. 
 
Support me, please come on board, I promise to make you happy.
Without you... I am as good as dead!  
 
Pleeeeaaaaaaaaaaase!

Have you changed your mind!

Thank you for your support... Fly with Air Tanzania!

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Tutafanya hivyo nakuahidi!!

chib said...

Da Yasinta, Mimi niwapo nyumbani, huwa ni mteja mzuri wa ATC, potelea mbali na huduma za kusua sua, lakini safari zangu zote za ATC sijawahi kukwama :-)

Yasinta Ngonyani said...

Basi kaka Chib, nadhani nitafuata mfano wako. Maana kuwapa faida wengine haina maana:-)

LNFAW said...

http://lnfaw.blogspot.com/

Malkiory Matiya said...

Mimi nasubiri ahadi za rais wetu mpendwa alizotoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu,kujenga viwanja vya ndege, kama atatimiza malengo yake kama alivyoahidi basi changamoto ya usafiri wa barabara itabakia kwa sisi walalahoi.

Anya said...

I would love it to fly with
ait tanzania :-)

emu-three said...

Chako ni chako tu, huo ndio mfano wa kupenda na kuthamini chako, ingawaje unaweza ukathamini, lakini wasikuthamini!

SIMON KITURURU said...

Ee Bwana ni siku nyingi sijasafiri na Air Tanzania lakini safari ya mwisho kusafiri nayo bado kidogo tufie maeneo ya mto rufiji katika safari ya kutoka Dar kwenda Songea. Injini moja ilikufa aisee na tulirudi Dar chinichini yani!

Enzi hizo kwenda Songea hasa wakati wa mvua ilikuwa kasheshe sana hasa milimani Lukumbulu ambako ilikuwa ni fulu mfinyanzi na kupitika kasheshe.

Dawa ilikuwa Air Tanzania au ndege za jeshi za mizigo.

Tokea kipindi hicho uwoga wa Air Tanzania umetawala kwetu.:-(