Member of EVRS

Tuesday, 15 December 2009

MV Liemba - The World's Oldest Navigating Ship

MV Liemba is owned by Tanzanian government, it was formerly know as Graf von Gotzing, which was brought up by German army around 1913 for their missions in Lake Tanganyika which lies between Tanzania, DR Congo, Burundi, and Zambia.
Its name was later changed to Liemba, which in fipa tribe means Lake. It the major means of transport for many people in this region, where it make nearly 20 stops in betwwen before its final destination. Many stops, have no docs.
Just a hoot after anchoring....... in few minutes you will be surrounded by small boats. There is no ladder to board in or out!!

Tabu, ni kuwa hakuna ngazi, ni shughuli ya kukwea tu, kama hujui shauri yako

Watu wanakwea, mizigo mikubwa kama magunia yanapandishwa kwa crane, na njiani watu wananunua mchele, kuku walio hai nk, bila kusahau na miwa. Kwa sababu safari ni ndefu, basi miwa huwa burudani tosha kwa wasafiri


Usiniulize maganda wanatupa wapi, wanawashinda hata watu wa kariakoo kwa usafi. Yankusanywa kwenye nguo, halafu hayooo ziwani.....
Uongozi wa meli hiyo umelalamika ya kuwa kuendelea kutumia meli hiyo bila matengenezo, ambapo kwa sasa imechakaa ni hatari kwa maisha ya binadamu, na walimwomba balozi wa ujerumani kufanya fanya serikali yake igharimie matengenezo au kujenga meli mpya. Na ikibidi hii meli iwekwe kama kivutio cha watalii.
Kazi ipo, yaani mpaka tuombe watu wa nje....... Tunaombea tu isijetokea MV Bukoba nyingine....
Enjoy your trip, japo kwa macho na kusoma :-)11 comments:

Anonymous said...

Kwa mtindo huo, hapo hakuna cha ladies first, bila kupenda hapo ni ladies last kupanda na ladiest first kushuka. Labda kama kuna mtu kavaa jeanz. Maana yake darubini ya ze komedi!

José Ramón said...

Thanks for visiting Creativity and imagination of Jose Ramon and photos for your feedback. You have a very interesting blogs. Regards

ρομπερτ said...

May there always be two hands full of water benath that ship.

Please have a wonderful Wednesday.

Halil Mnzava said...

Its wonderfully,
Hii imenikumbusha mwaka 2003 nilifika Pangani kwa kweli kivuko chapale nacho kilikuwa spana mkononi.
Sina uhakika kama walishakitengeneza.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ziwa vctoria kuna mimeli ya ajabu pia. na inasemekana meli hiyo ilizamishwa na kukaa chini ya maji (au ndani) kwa miaka kadhaa baadaye ikaibuliwa.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ziwa vctoria kuna mimeli ya ajabu pia. na inasemekana meli hiyo ilizamishwa na kukaa chini ya maji (au ndani) kwa miaka kadhaa baadaye ikaibuliwa.

SIMON KITURURU said...

MV Bukoba inanukia hapo!:-(

Hii meli ilitakiwa iwe inaenziwa kihistoria tu sasa.

Fadhy Mtanga said...

Mungu aepushie mbali.
Ila nitafanya mpango nizuru meli hiyo.

Mzee wa Changamoto said...

Tatizo ni kuwa hatujui lini mwisho wa kutumia haya madubwana tununuayo
Nilioneshwa mwaka kwenye Mv Victoria na japo siukumbuki lakini naamini ulikuwa kwenye miaka ya mwanzo ya 40.
Mimi sijui tunaelekea wapi? Na sijui hawa watu wanapopata vitu kama hivi vivuko huwa wanatenga pesa yoyote kwa ajili ya matengenezo na manunuzi ya mpya?
Tuna wataalamu lakini hawawezi kujua price depreciation ya meli kama hii?
Wakati mwingine huwa NASHIBA NJAA na hii ni njaa ya hatari ninayoelekea kuishiba

Anonymous said...

I think, that you are not right. I can prove it. Write to me in PM, we will communicate.

Anonymous said...

I am sorry, that has interfered... But this theme is very close to me. Write in PM.