Member of EVRS

Wednesday, 9 December 2009

Kiribati and Global Warming: We will be Sorry if You DisappearKiribati (Gilbert islands) is a country comprising of several small islands called Atolls.

They are situated around the equator near the GWM

Because of their geographical altitude, and due to effect global warming, they will be the first to submerge and disappear from the world map as human habitable settlement when sea level increases.


The situation now is worse, Miss Kiribati, Taumiri Tetuai(photo above) said. If we remain silent, the bigger nations will not understand the danger of global warming. She said this while she was at Pacific islands 2009 beauty pageant.
President of Kiribati, Anote, has expressed his concerns on global warming effect several times, but it seems there were deaf ears around. We Hope Copenhagen will make a different turn over!Kiribati aerial view now, water is almost eating the islands


Haya ndio maisha ya kawaida sasa huko Kiribati, mitaa imegeuka maji, na miti kama minazi ambayo hutegemewa sana na wananchi inakauka kwa sababu ya maji. Kama uonavyo choo/bafu hilo la mabati, limepakana na bahari ya Pacific.Hapo juu, beach zimehamia kwa watu, maji safi ya kunywa inabidi yakingwe kwa kuta za mawe na mifuko ya ile ya nailoni maarufu kama salfeti wanavyoiita wenye lugha yao10 comments:

Candy1 said...

Mmh...vilio vya Maldives, sasa Kiribati... huku kwetu watapona kweli?

Ivo Serentha and Friends said...

My friend, the situation is very difficult climate, rising sea levels seems almost inevitable, it is difficult to shift economic-industrial, unfortunately the new generations will have to work to repair the wrong. "

Hope is the last to die, but it's a seriously ill

Hello, Marlow

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mambo ya gulobaaly woming hayo. inasemekana na Zanzibar itamezwa hivyo hivyo na kwa hiyoinabidi wahamie bara. huu ni wakati wa kushinikiza Muungano kwamba zanzibar iwe mkoa wa tanzania na sio nchi ili watu waingiliane na kupata pa kuhamia. hali ni mbaya

Anonymous said...

We Kamala upo sawa kweli!!! Nina maana ya kimtazamo, na sio kiakili

Anonymous said...

Hivi huyo Miss Kiribati akiingia mashindano ya mamiss wa kata ya Kibamba atashinda kweli?

nyahbingi worrior. said...

Kaka unajuwa inabidi mtu ufanye kazi upate kipato then uzunguke dunia kweli kabisa,mimi ningependa sana kufika katika his islands za ndugu wetu waafrika.

Bennet said...

hivi visiwa ndio vinavyoiona siku kwanza kabla ya sehemu nyingine, vinakaliwa na watu wa jamii ya ikiribatians ambao wanafanana na aborigians, chapatians au maori

SIMON KITURURU said...

Nashindwa kuchangia hoja na lawama zote ziende kwa MIss Kiribati kwa kunidundisha moyo kimfadhaiko kwa spidi ya Kamala akifukuzwa na Mbwa!:-(

José Ramón said...

A very interesting blog.

Greetings from creativity and imagination photos of Jose Ramon

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

anony, ni kweli niko sahihi. wanajifanya wajanja sasa wanamezwa na maji. watakujaje bara kama sio taifa lao?

Simon!! umenikumbusha mbaali, kufukuzwa na mbwa