Member of EVRS

Wednesday, 2 December 2009

Bwana Madevu


Ufugaji wa ndevu upo wa aina nyingi.
Wakati mwingine ni vizuri utoke kivyako vyako. Lakini yote kwa yote... this is very funny.
Sifahamu usafi wa meno nk anaufanyaje, na kama ana wife.... Duh!!
Image form Holiday Matinee

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kwanza nilifikiri amezichukua nyweli zake toka kisogoni na kuweka usono. Yaani nimecheka kweli mpaka mbavu zaniuma. Kazi kwelikweli!!!

Fadhy Mtanga said...

This is very funny kaka. Huyu jamaa ni noma. Ahsante kwa kunifanya kufurahi usiku huu.

John Mwaipopo said...

yethuuuuuu!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

napenda kuwa na ndevu ndefu kuliko zake, nifanyeje?