Member of EVRS

Monday 14 December 2009

Berlusconi: His Safety and Politics



I am still puzzled by this news..... That the Italian PM and owner of AC Milan team has been punched on the face and suffers laceration on the upper lip from angered person while addressing the crowd on campaign rally.
Berlusconi will be in hospital until tuesday for observation, while the man who hit him, Massimo Tartaglia has been kept in prison for investigations.

Inashangaza kuhusiana na usalama kwa kiongozi wa nchi, pamoja na kwamba ana sifa ya kupenda kujichanganya na wananchi, labda sababu ya vidosho....., na pia wanasema aliyempiga akili zake hazijatulia sawasawa, lakini kupigwa kwa kiongozi kama yeye, kuna ashiria hali ya ulinzi si shwari.

3 comments:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

kachapwa eheh? bado wa kwetu wanaoleta mizaa ya tumefanya amengi mazuri hamna shukrani mbele ya wenye njaa kali kamamzee mwinyi

Halil Mnzava said...

Duh,ila huyu jamaa ana maisha yenye kasheshe kibao.Nadhani ndio mtindo wake wa maisha.

Simon Kitururu said...

Mimi siamini kuna binadamu alindwaye anayelindika 100%.

Si unakumbuka hapa majuzijuzi Obama mwenyewe isemekanaye ndiye mtu anayelindwa kuliko wote DUNIANI jamaa [Mr&µrs SALAHI] walizamia party yake na mpaka kukutananaye uso kwa uso bila kustukiwa? Na hapo silaha ambayo wangehitaji si ingetosha hata kama ingekuwa ni UMA tu?