Member of EVRS

Wednesday, 16 December 2009

Dont Drive When you are Drunk

The end of year approaches, it is time for joy and happyness.
It is time to drink and get drunk!! I am not sure about this.
Then dont drink and drive, lakini wanywaji wanasema, dont drive when you are drunk


Unaweza kukuta umeingia na gari ndani ya chumba cha watu, tena usiku wa manane ukawaharibia usingizi wao.
Zingatia... Take care!

Photo: Car-Accidents.com

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Na sasa ndio sikukuu hizi nyingi basi ndo kazi kwelikweli. Jamani mmesikia ZINGATIENI kwa kujali uhai wetu/u.

SIMON KITURURU said...

Asante kwa Ushauri!


Ila tatizo lenyewe ni kwamba USHAURI HUU kwa kawaida unalete maana tu mnywaji akiwa SOBER.

Wapo wengi ambao Kabla hawajanywa hawana hamu ya kuendesha na WATAKUTENGENEZEA mpaka TANGAZO la ``Don't DRINK & DRIVE´´ ila akili ya kuendesha gari huja tu baada ya Kunywa kidogo halafu kuhisi NYUMBANI au tu kijiweni wanyweapo KUNAPUNGUFU LA MNOGO na kwa hiyo inabidi waende mtaani kudeku baksheshe nyingine yenye LADHA maridhawa a.k.a MNOGO tofauti.


:-(

José Ramón said...

Vizuri kwamba ingekuwa scare ya wamiliki wa nyumba. Salamu kutoka kwa ubunifu na ubunifu photos ya Jose Ramon

Yasinta Ngonyani said...

Halafu ingekuwa vizuri kama magari yote yangekuwa hayawake kama mtu anataka kuendesha wakati anajua amekunywa pombe nyingi.

Candy1 said...

"Don't drink while driving, you gonna spill the drink!!!"....that might work :-D

jaz@octoberfarm said...

omg...this is so funny!! it gave me such a laugh!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

save water, drink bear! no! kwa nini isiwe usipate ajali?

no najiuliza tu hilo gari likiingia ndani silinaharibu starehe za kukatafuta ka last born au ni usingizi kweli?

fikiriaumelala harafu mara gari hiloo kitandani kwako, si muujiza huo?

Halil Mnzava said...

Pombe si chai""'