Hivi picha hizi mbili huwezi kuzitafutia maeneo na kipindi na kuzidaka zote mbili ukiwa Tanzania?
Kwa maana nimeshashuhudia Malori yaliyo jaza hivyo na najua kuna maeneo Bongo madaraja wakati wa mafuriko siri wakati unavuka ni kuomba Mungu. Na Bongo tuna mataa sehemu kadhaa barabarani na TANESCO ya TZ inamchezo wa kutowasha taa kama hapo kwenye picha ya Rwanda.
Mkuu Simon, kama alivyosema anonymy hapo juu, labda anajua kuliko mimi. Mimi nakaa mitaa ya nyumba za zamani zilizokuwa zinatumiwa na viongozi wa serikali, na sijaona tatizo kubwa la umeme. Mfumo wa maji kwetu ni bomba ingawa nasikia kuna Tabata nyingine huku, Yaani maji ni wimbo. Taa za barabarani zinawaka zote, hiyo picha nilipiga jioni nikitokea kazini kuelekea home. Kulikuwa na baridi na ukungu fulani, haikuwa giza la kuhitaji taa za barabarani.
5 comments:
ni kweli na inasikitisha kuona hivi:-(
Hivi picha hizi mbili huwezi kuzitafutia maeneo na kipindi na kuzidaka zote mbili ukiwa Tanzania?
Kwa maana nimeshashuhudia Malori yaliyo jaza hivyo na najua kuna maeneo Bongo madaraja wakati wa mafuriko siri wakati unavuka ni kuomba Mungu. Na Bongo tuna mataa sehemu kadhaa barabarani na TANESCO ya TZ inamchezo wa kutowasha taa kama hapo kwenye picha ya Rwanda.
Tukiacha utani hivi Rwanda umeme vipi?
Mimi nakaa Rwanda, umeme kwa sasa sio shida, isipokuwa una bei kubwa sana.
Mkuu Simon, kama alivyosema anonymy hapo juu, labda anajua kuliko mimi. Mimi nakaa mitaa ya nyumba za zamani zilizokuwa zinatumiwa na viongozi wa serikali, na sijaona tatizo kubwa la umeme. Mfumo wa maji kwetu ni bomba ingawa nasikia kuna Tabata nyingine huku, Yaani maji ni wimbo. Taa za barabarani zinawaka zote, hiyo picha nilipiga jioni nikitokea kazini kuelekea home. Kulikuwa na baridi na ukungu fulani, haikuwa giza la kuhitaji taa za barabarani.
yep umeme wa Rwanda utakuwa chip wakimaliza ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme katika dam iliyoko karibu na rusumo tanzania
Post a Comment