Member of EVRS

Monday, 23 November 2009

Violence against Women! Itaisha lini?Violence against women and children is like a rodent ulcer.......

In any war, those who suffers most are same people, who never involved in initiating those wars....Even their special days like wedding can be ruined.....It is time to be ready now.... for anything....
Picha: kutoka Ouhe!

7 comments:

Fadhy Mtanga said...

Vita vita vita, wanawake na watoto ndio waumiao. Kama viongozi wangeacha ubinafsi, sidhani kama kungekuwa na vita.

Upepo Mwanana said...

Ukatili huu inabidi ukomeshwe

SIMON KITURURU said...

Inasikitisha!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ila ndo wanaozaa na kulea waleta vita

chib said...

Kamala! DUH!!

John Mwaipopo said...

mmesahau pia wakati wa vita wanawake hubakwa pia.

kamala! we acha tu!

Yasinta Ngonyani said...

Tunaonewa sana lakini inabidi ukatili huu ukomeshwe.