Member of EVRS

Thursday 5 November 2009

Taifa Stars Yafungwa Misri

Mechi ya kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania na Misri imemalizika kama dakika 5 zilizopita kwa Tanzania kufungwa mabao 5 - 1

Tanzania ikiwa imevalia jezi nyeupe na michirizi ya njano na kijani, haikuweza kufua dafu kwa ma-pharaoh wa Misri.

Wakati naitizama mechi hiyo, nilifikiri wamewakodi Abajalo FC.

Tunasubiri mechi kati ya Taifa Stars na Yemen sasa

8 comments:

Simon Kitururu said...

TZ kimichezo bado kazi ipo!
Kiuchumi miye chichemi!

Lakini tutafika tu!

lenz said...

hi friend, just dropping by to say, have a great days ahead.

John Mwaipopo said...

Mie bado nadhani hayo matano ni kiduchu kutoka kwa mafarao na hivyo nadhani kilikuwa kipimio sahihi.

Yasinta Ngonyani said...

Tutafika tu polepole ndo mwendo:-)

mdoti Com-kom said...

nadhani haya ni mafanikio ya maximo na taifa staz ya aina yake. maana katika hali ya kawaida tu hawaamini kuwa wameweza kupata hata hilo moja ni wazi kuwa walikwenda kutalii na kubadilisha mazingira. labda lengo ilikuwa kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi kwa vitendo

chib said...

mdoti Com-kom ! Ha ha haaa

Anonymous said...

viagra rx too much viagra buy viagra cheap watermelon viagra herbal viagra reviews try viagra for free viagra or cealis buy viagra in england viagra or cealis buy viagra online at uk alternative viagra how long does viagra last women taking viagra alternative to viagra

John Mwaipopo said...

ha! ha! ha! huyu anomimas wa juu nani kamwambia mpira wa miguu unachezwa kitandani? kwa hiyo wachezaji wetu tuwapi hizo dozi? LOL!