Member of EVRS

Tuesday 10 November 2009

Gordon Brown Apologises for his Bad Handwriting


British premier has sent an apology to Mrs Jacqui Janes, mother of Briton soldier who died in Afghan following misspelling the name of the died soldier.


The other problems which were obvious, are very bad handwriting and misspelling of other english words which anger the mother of deceased.
Gordon Brown has a blind eye which he got injury in his youth while playing rugby, it is said that his handwriting is bad due to his poor sight in one eye.
Mimi sijui kama ni kweli au ni kama Rooney tu.

8 comments:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

natoka nje ya mstari. unakumbuka ulihaidi zawadi?au ulikuwa umelewa?

Yasinta Ngonyani said...

:-)

Simon Kitururu said...

Tupowengine macho yanaona lakini muandiko kama Bata!:-)

wengine tushukuru tu tunaandika hata hapa kwa kutumia Kompyuta kwa kuwa kuna ambao mcharazo wa peni hausomeki.:-)

Faith S Hilary said...

yup...jicho lake moja haoni...he can feel it ila haoni...akiongea on TV you will notice..but at least he could have typed it...

John Mwaipopo said...

zimebarikiwa kompyuta maana bila ya hizo wengine tusingalisomeka.

chib said...

Ha haa ha kumbe wenye miandiko ... wapo wengi.
Lakini kwa kusema ukweli, jicho moja kutokuona sio sababu ya kuwa na mwandiko mbaya, labda huyu mkuu hata jicho lake lingine lina ka-ubovu

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Kwa sisi walimu tumeona miandiko ya kila aina. Kuna mingine kusoma "pepa" ya kurasa tano inakuchukua masaa matano - inabidi usome ukurasa mmoja na kupumzika. Jambo hili huwa linaniudhi sana na wanafunzi wa aina hii huwa nawapa mikikimikiki.

Baadaye nitaweka katika blogu yangu "pepa" yangu ya kwanza nilipofika hapa Marekani. Nilikuwa sijui kutumia kompyuta na ilibidi niandike "pepa" ya kurasa 28 kwa mkono. Karatasi hiyo ilinipa umaarufu mkubwa sana na karibu kila mtu alinifahamu! Kompyuta kweli zimesaidia sana.

chib said...

@Prof Nzuzullima. Tunaisubiri hiyo pepa