Member of EVRS

Wednesday 20 April 2011

Look here: Kigamboni, New City Plan

Being a prospective Kigamboni resident in Dar es Salaam....
 I was attracted by this master city plan....

Click here at kitururu's blog to see the .... plans

6 comments:

Simon Kitururu said...

Ila hii plani isije tu ikabakia kuwa ni porojo tu za wanasiasa wetu!:-(

Albert Kissima said...

Najaribu kufikiria wakati Kigamboni ikiwa hivyo ndani ya Tanzania yangu, vijiji vitakuwa katika hali gani? Huduma za afya, maji, elimu n.k zitakuwa zimeboreshwa kwa kiasi gani, shule za kata nazo zitakuwa katika hali gani? Miundo mbinu je? Yani kwa ujumla, ninachotaka kujua ni kuwa, wakati kukiwa na plani hii ya Kigamboni, mambo mengine ambayo hata sasa ni Kero yatakuwa katika hali inayoridhisha? New Kigamboni itawiana vipi na sehemu nyingine za Tanzania?

chib said...

Mimi nikiangalia tulipo sasa, na muda wa utekelezaji wa mpango huu, bado natafakari

Upepo Mwanana said...

No COMMENT!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Bwana Kissima;

Ni nani anayejali mambo ya vijijini? Kama kungekuwa na mtu anayejali bila shaka leo hii vijiji vingi vingekuwa angalau na maji safi ya kunywa. Sijui vijiji vingine hali ilivyo lakini vijiji ninavyovifahamu kule nyumbani Bariadi hali ni mbaya sana. Halafu eti mbunge wake ndiye mmojawapo wa watu matajiri kabisa hapa Tanzania (Mzee wa vijisenti!).

Usije ukashangaa kama asilimia kubwa ya pato la serikali ikatumika kujengea hii Kigamboni Mpya wakati kule vijijini watu wako hoi bin taaban

Anya said...

Happy Weekend or
Happy Easter to all from
Kareltje =^.^= Betsie >^.^<
Anya :)

:)

http://www.youtube.com/watch?v=nS_qJwxjYQk


_♥♥_♥♥
_♥♥___♥♥
_♥♥___♥♥_________♥♥♥♥
_♥♥___♥♥_______♥♥___♥♥♥♥
_♥♥__♥♥_______♥___♥♥___♥♥
__♥♥__♥______♥__♥♥__♥♥♥__♥♥
___♥♥__♥____♥__♥♥_____♥♥__♥_____
____♥♥_♥♥__♥♥_♥♥________♥♥
____♥♥___♥♥__♥♥
___♥___________♥
__♥_____________♥
_♥____♥_____♥____♥
_♥____/___@_____♥
_♥______/♥__/___♥
___♥_____W_____♥
_____♥♥_____♥♥
_______♥♥♥♥♥