Member of EVRS

Friday, 1 April 2011

Nawatakia Weekend NjemaSina la zaidi kwa kuandika hapa.

Najua wengi mmelizwa na siku hii ya Wajinga!
Nawatakia burudani tosha mwisho wa wiki hii mpoze machungu ya kugeuzwa mafaaaala. Lakini ndio mambo hayo.

7 comments:

Subi said...

Asante.
Mapumziko mema nawe!

EDNA said...

Kwako pia DR.

Anya said...

Nice to see you Chib :-)

I wish you a relaxing week-end !!!

Yasinta Ngonyani said...

Ha ha ha ha:-) kwako pia Ahsante!!

emu-three said...

Wikiendi njema yenye neema na baraka tele, lakini msi-over do, siunajua tena jumatatu mchachaka...mwezi ulishaisha mahesabu, report nk zinahitajika au sio...lol

Ivo Serentha and Friends said...

Good week to you Chib, I am very happy that you enjoyed the blog "Photosphera and Memory blog, but they are actually quite committed itself very rewarding.

Hello

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

lione ville