Member of EVRS

Wednesday 1 December 2010

Nimebanwa Mbavu

It appears as if I have abndoned my blog!!!!  
  
La hasha, I am occupied with activities for the end of the year.
I expect to take a vacation, therefore, lazima kila kitu kieleweke kabla sijaondoka.  
  
Just keep on visiting my blog, I appreciate and enjoy even on your silent tracking over.
You are all great, thank you!

See you soon

8 comments:

Subi Nukta said...

LOL, walahi Kamala lazima athibitishe ule usemi wake kuwa tumesoma Chuo kimoja na kulala kitanda kimoja wachilia mbali kuwapamoja hadi sasa, LOL ha ha ha walao kimawazo.
Ujumbe wako wa leo unalandana na wangu wa leo! ha ha ha ahaaa!

Lazima iko namna, watu wamezaliwa tarehe moja na kila mtu anafanya chake kivyake katika mabara tofauti lakini vinatokea kama vimepangwa, mmm, mmmh, mmh, supernatural power working at it's best or what a coincidence.

Ivo Serenthà said...

About the movie with the two children in the womb of the mother, I really hope this will not happen, the boxing match between the twins in real life!


Hello Chib, welcome back

Marlow

Faith S Hilary said...

Mi nipo!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

subi????? mbona kama kuna siri unataka ifanyiwe kazi kati yenu wawili?

Subi Nukta said...

tehe, nilisema na mapema, Kamala akija hapa itakuwa kivumbi na jsho! teh teh teh. Hakuna siri ya watu wawili bwana we, ha haha. It's pure coincidence, yaani imetokea kwa mizunguko ya unajimu.

chib said...

:-)
Kamala kaifanyie kazi ili mradi usichakachue taarifa utakazozipata ili theory yako ikubalike. :-)
Just coincidence, habari ndio .....
@ Marlow, that fight in the womb will never happen in real life.
@ Candy 1, that freezing temp, yaani kaa mwenyewe tu, make your self like Eskimo ha ha haaaa

emu-three said...

Kwa vyovyote iwavyo twawatakia mapumziko mema,au shughuli mtingo mema, kwani yote ni heri. Ila lazima tukiri kuwa tutawamiss sana!

Simon Kitururu said...

Tupo!


Mkipata nafasi ndogondogo hata vikatuni vya chakubanga tumegeeni wajameni.




Mnyambulisho pembeni kidogo ya tundu:


Nilikuwa naongea na bloga mmoja hivi karibuni aliyeacha kublogi akadai kuwa mwanzo aliamua kupumzika kidogo ili aje na fresh approach , baada ya kupumzika akastukia kwake ni maumivu kufikiria aweke nini kwenye blogu yake na kuhitimisha kuwa labda THEME ya blogu yake haiwezi kwa iyo akaacha moja kwa moja na ndio kwanza anataka hata kuifutilia mbali kabisa blogu yake.:-(


Nimesahau nilitaka kumaanisha nini!:-(