Member of EVRS

Monday, 6 December 2010

Nawaza tu


Aina mbali mbali za vimiminika ambavyo kamwe haviozi hata kama vitakaa kwa zaidi ya miaka kumi.

Mimi nimeshapata 6, lakini nataka mpaka idadi ifikie kumi.
Jaribu kufikiria nami na unipe mawazo

Duh! Jumatatu njema

Image from CGA

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kaazi kwwelikweli! jumatatu njema nawe pia:-)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

slide show, you like it definately

hata mati hayaozi japo hunuka

SIMON KITURURU said...

Mazingira yatunzao Mkojo pia huwa na machango wake katika kutunza mkojo uwe fresh zaidi ya dakika kadhaa- if U know what I mean!:-(

Katika wazo nikiwa nimeegemea upande wa kuwa LABDA:

Aina mbali mbali za vimiminika LABDA VYOTE kamwe haviozi hasa kama vitakaa kwa zaidi ya miaka kumi kwenye mazingira ya ruhusiyo TOGWA kubakia TOGWA.:-(

Nawaza tu !