Member of EVRS

Tuesday, 31 August 2010

OSEA Conference 2010, Dar es Salaam - Tanzania

Ophthalmological Society of Eastern Africa (OSEA) had its 39th Annual Conference held at Golden Tulip Hotel in Dar es Salaam, Tanzania.
It was one of the successful meetings despite being overwhelmed by conference visitors more than the expected number. Tanzanian team worked relentlesly through out .....

Eastern Africa region includes Burundi, Ethiopia, DRC, Kenya, Rwanda, Tanzania, Uganda, and Zambia. Malawi has been invited, but they havent officially joined the OSEAPhoto above: Registration in process
Madhumuni makubwa ya mkutano huu ilikuwa ni kufanya marejeo ya mpango wa kutokomeza upofu kwa miaka 20 ufikapo mwaka 2020, na kuangalia kama tunakwenda sambamba na malengo yaliyokusudiwa baada ya kumaliza nusu ya kwanza ya mpango huo.
Hakuna kusubiri muda uishe ndio kuanza kuangalia kama tumefanikiwa au la!
Mbali ya watu kuandaa na kuanuisha tafiti mbalimbali na mafanikio ya kazi zao katika nchi zao.
Mwishoni, walichaguliwa viongozi wapya wa shirikisho hili la ukanda wa Afrika mashariki kama ifuatavyo:
Dr. Dan Kiage (Kenya) - Chair person
Dr. Amir Bedri (Ethiopia) - Vice Chair
Dr. Edward Nkurunziza (Uganda) - Secretary
Dr. Chibuga (Rwanda) - Vice Secretary
Dr. Ibrahim Matende (Kenya) - Treasurer


Dr. Kilima and Dr. Hassan, who are the vice chair and Chair of OSEA -Tanzania respectively discussing the event proceedings

Dr Bernadetta Shilio-Mpoki who is deputy National eye care co-ordinator and onchocerciasis programme at the Tanzania's Ministry of Health and Social Welfare ( And my former classmate at undergraduate) listening careful the proceedings of the conference

Wajumbe mashuhuri kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania wakisikiliza mkutano kwa makini

Nami sikuachwa nyuma, nilikuwepo

Multi-Nation presenters at the time of Questions and Answers after session 6

Invited guest speakers from Germany, during questions and answers session 7

Baada ya mkutano kwisha, kulikuwa na tafrija ya kufahamiana zaidi huku kukiwa na kiburudisho cha muziki "live". Hapo ndipo watu wengine waliendelea kuonyesha vipaji vyao....lol :-)

8 comments:

Thom said...

Mkuu, congrats

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa kutufahamisha kilichotokea na naamini umekuwa na wakati mzuri ingawa kuna kipindi huwa mtu unachoka kukaa tu na kusikiliza.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

uzembe kazini sasa wakati mnaserebuka hotelini mahosp yeni mlimwachia nani?? watu wamekufa kwa sababu hii, koma na uzembe hauruhusiwi mmesikia??
nitawafungulia shitaka mkirudia uzembe huu

dr kamala

chib said...

Duh, basi uzembe upo mwingi, vikao vya harusi, bunge, kamati za shule, vikao vya mke na mume kujadili maendeleo ya familia, vikao vya kidini, vikao vya ofisi hata na mikutano ya kampeni za uchaguzi.

emu-three said...

Vikao ni jadi yetu, siunajua tena, `allowance za kukaa nk.' Lakini mwisho wa siku tutauliza nini matokeo ya hivyo vikao, na vingozi mjiandae kubeba dhamana!
Sawa tunawatakia mema yenye fanaka

John Mwaipopo said...

hongera kwa kuwakilisha

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Daktari. Nimekwenda kufanya uchunguzi wa kina wa macho yangu na daktari kaniambia eti jicho langu la kushoto lina "mikwaruzo" kwenye retina. Sikujua kama jicho linaweza kukwaruzika.

Inaonekana ulikuwa mkutano mzuri na asante kwa kuwakilisha vyema na hongera kwa cheo ulichopata. Upofu ni kasheshe na ni afadhali kuutokomeza!

Christian Bwaya said...

Hongera sana Daktari. Umetuwakilisha vyema!