Member of EVRS

Wednesday, 25 August 2010

Sababu za Vita Kwenye Kuwania Ubunge Tanzania


Kwa wale ambao hawakupata bahati ya kusoma gazeti hili .....
Ukisikia vita ya kisiasa Tanzania, basi ujue sababu ndizo hizi.......
Ukumbuke pia, wanasema posho hazitoshi, na wanataka nyongeza. Achilia mbali kuitwa muheshimiwa, kamati za Bunge nk.
Ni wachache tu ndio wana dhamira ya kweli ya uwakilishi wa wananchi. Wengine wanawakilisha wenye nchi!!

9 comments:

John Mwaipopo said...

na ndo maana uchakachuaji wa kura za maoni wa chama fulani ulikithiri/ulipindukia

chib said...

Mwaipopo...ha haa haaa

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Kweli tupu! Inashangaza pia kuona kwamba hata waliokuwa wabunge kwenye bunge lililopita eti nao wanapitisha vikapu wakiomba michango hata ya sh. 500. Wanatania ama? Mimi sitoi ng'o!

Cris said...

Hi Chib!!!!

Well. i was away cause of my vacations.
Good see your blog again :)

Hugs!

Cris said...

Hi Chib!!!!

Well. i was away cause of my vacations.
Good see your blog again :)

Hugs!

emu-three said...

Kwakweli hapo kuna ulaji, kinachotakiwa ni kuhakikisha unauchonga mdomo wako, na mkono hauwi wa birika au korosho, mwisho wa siku hela yako yote inarudi!
Lakini, mmmmmh ipo siku utaulizwa hilo jasho la wanyonge ulilifuta vipi?

Simon Kitururu said...

Kazi Ipo!:-(

Yasinta Ngonyani said...

Kaazi kwelikweli hata mimi sitoe ngó ngóooooo

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

nitagombea na mimi...na hizo hazikatwi kodi yoyote atiii.... :-(