Member of EVRS

Tuesday, 17 August 2010

Safari


I will be away for a while.
I am travelling to attend important conference.

Nina matumaini tutakuwa pamoja pindi muda utakaporuhusu.
Tuendeleze mshikamano

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kwanza nikutakie safari njema na pia mkutano(conference )njema.
Mshikamano hujenga nchi sote kwa pamoja tutafanikiwa tu. Usipotee sana:-)

emu-three said...

Safari njema natumai utatuletea habari nzuri kabisa

Bwaya said...

Mkutano mwema mwana kwetu!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

natamani ukiwa hilo dege, usikie mlio puuuuuuuuuuuu,mmmmmm tuone kama utaruka chini, harafu uone moto huku lubani akiwa amekufa ghafra, tune kama utaweza kwenda chooni, si moto utatokea chooni?? harafu ujimalizie kila kitu hapo ulipo.

ghafra! ugundue kuwa sio kweli bali ni ndoto tu!!! wewe, patamu hapo

SIMON KITURURU said...

Kila la kheri Mkuu!

Maisara Wastara said...

Natamani tungesafiri wote....LOL
Nakutakia safari njema bro!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

SAFARI NJEMA DAKTARI...