Member of EVRS

Sunday, 1 August 2010

Lovely Sunday


Nimetingwa na kazi mpaka nimeshindwa kuandaa chochote cha kubadilishana mawazo nawe!
Jaribu kunikumbusha, au kubahatisha hapa ni wapi, maana nilishaondoka hapo kitambo
Nakutakia Jumapili njema!

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

hata mia nimetingwa kama wewe kaka pamoja na kuwa likizo. nakutakia jpili njema nawe pia.

Anonymous said...

Hapo ni airport ndugu

John Mwaipopo said...

hapo ni uwanja wa ndege

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Eapoti Mwanza!

chib said...

Masangu .. wewe ndio umepatia, wengine naona walikuwa wanabahatisha tu :-)