Member of EVRS

Friday, 30 July 2010

Wish you A nice Weekend of Prayers

Wale wote wanaotarajia mafanikio, basi mwishoni mwa wiki hii nimejitolea kuwaombea kwa dhati kabisa, na Mungu awatangulie ili wapate mafanikio yaliyotukuka kadri wanavyokusudia.

Na shetani ashindwe.

God bless You!

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa maombi! Na kweli shetani ushindwe kabisa. Ameni mwisho wa juma mwema nawe pia mie naendelea na likizo yangu:-)

nyahbingi worrior. said...

Ahsante sana,Mungu anaweza yote,Nawe pia.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

shetani akishindwa dini itakuwa haina maana sana, na maombi aka sara zitapungua, ila wewe sasa na ushinde weekend hii

EDNA said...

Aaaameni,Mungu na akubariki wewe pia.Have a super weekend.

chib said...

Nawashukuru sana wote, japo wikendi hii nimejikuta nimeangukia kazini hadi sasa ikiwa ni karibu ya saa 3 usiku kwa hapa, na bado ninaendelea.

Christian Bwaya said...

Shetani kakata tamaa