Member of EVRS

Sunday, 18 July 2010

Kazi ya Kisiasa ndio Kwanza Inaanza

Mchakato wa kuwania nafasi za kisiasa unaanza rasmi kesho.


Wale wenye homa za uchaguzi, na hasa wale wanaowania kurudisha tena nafasi zao kisiasa zitaongezeka pale watakapojikuta wanapambana na watu mahiri zaidi yao.


Nawatakia mafanikio mema wote wale wenye nia thabiti ya kuchukua fursa ya kuwawakilisha vyema wananchi wao, na wale wanaofikiria kupata neema binafsi, na washindwe vibaya sana.


Tunaomba hekima za mwenye haki, kutuongoza tuweze kuchagua watu wanaotufaa na sio wanaojifaa.

Na pia tunawaasa hao wanasiasa ya kuwa, kuwania nafasi moja, sio tiketi ya kununiana na kuzusha ugomvi, mshindi ni mmoja tu hata kama wote ni wazuri kupindukia. Msianze kutafutiana Sangoma...


Good luck! - Kila la heri wanasiasa wote wenye mapenzi mema.

5 comments:

Fadhy Mtanga said...

Na mwaka huu tutarajie kuona mengi. Wengine wakiishiwa pumzi na kushindwa kurudi bungeni. Na ndiyo msimu wa kina kalembwani kuchuma sana pesa.

Kila la kheri wanasiasa. Siye wengine tutapiga kura kwa akili zote.

Yasinta Ngonyani said...

kila la kheri wana siasa na pia kila la kheri wapiga kura.

EDNA said...

Umeniacha hoi na SANGOMA hao ndio zao...Bt anyway tunawatakia kila raheri.

chib said...

Haiyumkini, tunawatakia heri.
Madaktari wa Moyo nao wakae tayari, hasa kwa wazee watakaoshindwa....

Anonymous said...

[B][URL=http://www.thomassabosale.de]Thomas Sabo[/URL][/B] [B]Thomas Sabo[/B] [U]Thomas Sabo charms[/U] [B]masai[/B] [U]swiss masai[/U] [B][URL=http://www.mbtschuheoutlet.de]mtb masai[/URL][/B]

[B]Thomas Sabo onlineshop[/B] [B][URL=http://www.thomassabosale.de]Thomas Sabo onlineshop[/URL][/B] [U]Thomas Sabo charms[/U] abercrombie [B]mbt schuhe[/B] [B][URL=http://www.mbtschuheoutlet.de]mbt[/URL][/B] [U]masai shoes[/U] fivefingers [B]Thomas Sabo schmuck[/B] [B][URL=http://www.salethomassabo.com]Thomas Sabo schmuck[/URL][/B] [U]Thomas Sabo charms[/U] masai barefoot [B]vibram five fingers sprint[/B] [B][URL=http://www.vibramfivefingersshop.de]vibram[/URL][/B] [U]vibram five fingers[/U] Thomas Sabo [B]abercormbie & fitch[/B] [B][URL=http://www.abercrombieonsale.de]abercrombie and fitch[/URL][/B] [U]abercormbie & fitch[/U]

[B]abercormbie fitch[/B] [U]abercormbie fitch[/U] [B][URL=http://www.abercrombieonsale.de]abercrombie and fitch[/URL][/B] [B][URL=http://www.mbtschuheoutlet.de]mbt[/URL][/B] [B]masai shoes[/B] [U]mtb schuhe masai[/U] [B][URL=http://www.thomassabosale.de]Thomas Sabo schmuck[/URL][/B] [B]Thomas Sabo charms[/B] [U]Thomas Sabo charms[/U] [B]masai schuhe[/B] [U]masai shoes[/U] [B][URL=http://www.mbtschuheoutlet.de]mtb masai[/URL][/B]