Member of EVRS

Wednesday, 28 April 2010

What's Up When it Rains in Dar!!!


When it rains in Dar, many roads turns to be temporary rivers and streams....
This has been there for many years, and yet NOTHING has been done to solve this problem...
Labda wahusika wanaona mito ikijitokeza barabarani ni neema, wanafikiri watapata samaki barabarani.
Is it so natural, that city fathers and mothers enjoys .....
Have a nice wednesday pals, get your "blind" leaders into powers, and enjoy all sorts of disappointments..... What should I say now..... you are blind too...
Cheers

10 comments:

EDNA said...

Hahaa you made my day Broo Chib....this i so sick.Great wednesday to you too.

Yasinta Ngonyani said...

Hakuna haja ya kwenda beach. Duh hapo sasa kashehe- Jumatano njema nawe pia kaka Chib.

Fadhy Mtanga said...

Nayaandika haya maoni nikiwa nimekwama hapa Kariakoo kutokana na mito na maziwa yaliyosababishwa na mvua ya masaa kadhaa. Ni zaidi ya kero.

Crissant said...

This is so sad! :(

chib said...

@Fadhy, pole sana
@ Crissant, it is more than sad
@ Edna, thanks my sister
@ Yasinta, meniacha sina mbavu, japo hali inasikitisha

chib said...

@Fadhy, pole sana
@ Crissant, it is more than sad
@ Edna, thanks my sister
@ Yasinta, meniacha sina mbavu, japo hali inasikitisha

Upepo Mwanana said...

Yaelekea hakuna anayejali. Na kweli sasa watu waanze biashara ya kuvua samaki miaani :-)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

tatizo ni kwamba maji haya yanazibua vyoo vya uswazi na kuleta vitolewavyo kwa siri (kinyesi) ili watu wajipakae njiani.

kwa hiyo ukakigusa kwa kkanyaga au kugusa maji haya, umegusa nini???? SIRI YAKO

Yasinta Ngonyani said...

Mmmmhh! Najua kaka Chib ni jambo la kusikitisha na cha kusikitisha zaidi kuona hakuna anayeona kama kunaweza kukawa na mafuriko mabaya sana na pia magonjwa mengi sana. Namwomba Mwenyezi Mungui aepushe mbali janga hili baya.

Anonymous said...

Watu wa Dar twafwa! Kamala umenitisha kabisa!!